Farm with Davido
Member
- Nov 18, 2022
- 49
- 43
Nyanya ndo kilimo kikuu huku, kukodi shamba ni laki na nusu. Karibu mkuu.Kukodi mashamba huko ni bei gani?
Vipi nyanya zinakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanya ndo kilimo kikuu huku, kukodi shamba ni laki na nusu. Karibu mkuu.Kukodi mashamba huko ni bei gani?
Vipi nyanya zinakubali
Nitakuja kukutembelea mawasiliani yako nimeyaona hapo juu nadhaniNyanya ndo kilimo kikuu huku, kukodi shamba ni laki na nusu. Karibu mkuu.
Nirushie namba zako inboxMalolo ya buluga km unapafaham, nimepanda mahindi ya gobo saiz, ntatoa kwny mwezi wa tatu hv:
Naona PM inachangamoto nashindwa kui access PM yako mkuu.Nirushie namba zako inbox
Usijalibu kulima kitunguu! utakuja ufe kabla ya wakti wako! thank me later!Kilimo cha umwagiliaji Sana Sana vitunguu. Au Ufugaji na iwe mbuzi
Eka moja ya nyanya mkuu ni laki na nusu??? acha upotoshaji! "HAIPUNGUI LAKI TATU"Nyanya ndo kilimo kikuu huku, kukodi shamba ni laki na nusu. Karibu mkuu.
Hua tunafanya hivi mkuu, laki tatu km mashine ya kumwagilia nitakupa mimi (mwenye eneo) km mashine itakua juu ya anaelima hapo mimi mwenye eneo nita mchaji ela ya eneo tu (laki na nusu) na kingne mm nakodisha mashamba ambayo I own them (I'm not dalali) so, I can do anything with my own land without anyone to qn me anything.Eka moja ya nyanya mkuu ni laki na nusu??? acha upotoshaji! "HAIPUNGUI LAKI TATU"
Nitakupigia kesho tuyajengeNaona PM inachangamoto nashindwa kui access PM yako mkuu.
Lakin usijali 0688 476 770 karibu ufanye survey mkuu!.
@Fursakibao aka kujua kwingi, upo!?Nitakupigia kesho tuyajenge
Naona kinyeo kinakuwasha@Fursakibao aka kujua kwingi, upo!?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], naona unaniogopa sanaNaona kinyeo kinakuwasha
@Fursakibao we ni moja kati ya watu wachache wanaokuja jf na kujifanya wanajua sana, badala ya kutulia na kufundishwa vituNaona kinyeo kinakuwasha
Naona unatafuta umarufu kupitia I'd yangu. Unaweza kuthibitisha unachokisema.@Fursakibao we ni moja kati ya watu wachache wanaokuja jf na kujifanya wanajua sana, badala ya kutulia na kufundishwa vitu
nikuogope kwa lipi? Sina mda na wapumbavu kama wewe.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], naona unaniogopa sana