Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

Eka moja ya nyanya mkuu ni laki na nusu??? acha upotoshaji! "HAIPUNGUI LAKI TATU"
Hua tunafanya hivi mkuu, laki tatu km mashine ya kumwagilia nitakupa mimi (mwenye eneo) km mashine itakua juu ya anaelima hapo mimi mwenye eneo nita mchaji ela ya eneo tu (laki na nusu) na kingne mm nakodisha mashamba ambayo I own them (I'm not dalali) so, I can do anything with my own land without anyone to qn me anything.
 
@Fursakibao we ni moja kati ya watu wachache wanaokuja jf na kujifanya wanajua sana, badala ya kutulia na kufundishwa vitu
Naona unatafuta umarufu kupitia I'd yangu. Unaweza kuthibitisha unachokisema.
Kijana tafuta pesa uache mambo ya kingese utakuja kutolewa marinda kama bado unayo.
 
Back
Top Bottom