Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Kuna maeneo yana maji mengi sana kiasi kwamba ukichimba kidogo tu unakutana na maji hasa ukanda wetu huu wa pwani..Vyuma vimekaza jamani wakulima tusaidiane huko kwenye mashamba yetu tuanzishe hata vibustani vya mbogamboga. Kwani kabla ya kuja hizi mashine za milioni 20 watu walikuwa wanachimbaje visima! Anaejua hii elimu,Utajuaje eneo lako katika shamba ukichimba unapata maji..Ahsante.Wapiga pesa mtusubiri kidogo...