Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana.
Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa wiki, mwezi then mwaka mara idadi ya ng'ombe tulio nao nchini
Kuna haja gani wakulima kuhangaika na haya mambolea ya YARA, wakati mbolea ipo ya bei nafuu au bure kabisa...Kweli bongo ni nchi ya wavivu....
Le Professor Samwel Manyele Ushamaliza asiyekubali ripoti yako ahamie burundi.
Lakini watu wa MORO TUJUZENI HAPA hahaha, Samahani Le Professor
Pale Dakawa njia kuu ya Moro to Dom si kuna ka ~bwawa miaka na miaka sasa, mle ndani wamasai wananywesha ng'ombe, wanakunya humohumo na kukojoa na zaidi watu wanafanya shughuli zao humohumo kama kuoga na kufua na maji hayo yametwama, Makambale wangapi wanakufaga kwa siku pale? Tujuze?
Nchi ngumu hii hahaha