Wakulima wetu mjiongeze, KFC wamekubali kununua viazi kutoka kwa wazawa

Wakulima wetu mjiongeze, KFC wamekubali kununua viazi kutoka kwa wazawa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
KFC ni kampuni makini sana kwenye suala la kuhakiksha ubora, hivyo hawanunui malighafi kiholela, wanakagua sana viazi na wamekubali wataanza kununua kutoka kwa wakulima wetu, ila lazima tukidhi vigezo, maana kwamba enzi za kufukia mbegu na kuvuna vimepitwa na wakati, inapaswa tuanze kuhusisha vijana wetu wataalam wanaosomea ukulima wa kisasa, tuanze kuwaajiri kwenye mashamba yetu watuelekeze namna ya kukidhi ubora wa kimataifa, soko lipo la kila aina ya mazao.

Zao la viazi tu linakisiwa kuingiza Kshs bilioni 90 kwenye uchumi wetu.....
=======================


Fast food restaurant chain, Kentucky Fried Chicken (KFC), has revealed that there is an opportunity to source potatoes locally after a public uproar.
According to reports, KFC has plans to source potatoes from Kenyan farmers after delays in delivery from its overseas suppliers.
CEO Jacques Theunissen was quoted by The Standard as starting that the fast-food franchise would still demand high-quality potatoes when they start sourcing locally.

He also emphasized that KFC has been at the forefront of working with Kenyan suppliers for other ingredients. "At KFC Kenya, we work with a number of local Kenyan suppliers to serve our customer's locally-sourced produce and ingredients in our restaurants.
"There is an opportunity to source the potatoes from a local supplier that meets the global KFC quality and safety specifications in the near future,” he stated.

Theunissen added that the potato shortage KFC was experiencing in Kenya would be resolved by Wednesday, January 5, adding that scarcity of potatoes had been occasioned by the Covid-19 crisis.

“It has to do with delays in shipping lines due to the Covid-19 situation. Ships have been delayed for more than a month now, but we are working hard to restore as the first containers are arriving in the port tomorrow (Wednesday)," the CEO stated in a previous interview.

Kenyans on social media caused a stir questioning why the fast-food chain imports potatoes yet there is a production surplus in the local market.

“It has to do with delays in shipping lines due to the Covid-19 situation. Ships have been delayed for more than a month now, but we are working hard to restore as the first containers are arriving in the port tomorrow (Wednesday, January 5),” Theunissen stated.

A 90kg bag of potatoes recently hit an all-time low of between Ksh450 and Ksh600 in Molo, Nakuru County.
Potatoes are estimated to contribute more than Ksh50 billion to the Kenyan economy.


 
Kwani Kenya Kuna ardhi ya kilimo?, Mbona kila siku wakenya wanalalamika kwamba ardhi yote ni jangwa ndio sababu hawawezi kujitoshekeza kwa chakula?, Mwisho wa siku hata hivyo viazi vitatoka Tanzania, ninyi endeleeni "service based Economy"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui kwa Kenya, ila Tz KFC hana nguvu kubwa , kilo za viazi anazo tumia kwa siku ni sawa tu ni vibanda vya chips vya mtaani Dsm, idadi ya outlets zake pia hazivuki 5, hivyo hana influence yoyote.
 
Sijui kwa Kenya, ila Tz KFC hana nguvu kubwa , kilo za viazi anazo tumia kwa siku ni sawa tu ni vibanda vya chips vya mtaani Dsm, idadi ya outlets zake pia hazivuki 5, hivyo hana influence yoyote.
kweli kabisa. hii inadhihirisha wazi kuwa middle class ya Tanzania ipo chini sana. Mtanzania haezi afford chipsi kuku,, akienda mbali sana, labda chipsi zege.
 
nyingi sana aisee. over thirty. na bado zinaongezwa. still tumewapeleka puta hadi mwishowe wakaomba poo wakahamia kwenye ugali 😁😁
With that numbe angalau napata picha. Ila kuwa mkweli hayo machakula hayana swagger.
 
NYIE wenyewe mnashindia chai na maua alafu mnataka kuanze kuuza viazi
KWELI AKILI MALI
 
Sasa chips Cha KFC Zina tofauti gani na za sele bonge?
Mpaka ziuzwe Bei?
kweli kabisa. hii inadhihirisha wazi kuwa middle class ya Tanzania ipo chini sana. Mtanzania haezi afford chipsi kuku,, akienda mbali sana, labda chipsi zege.
 
Back
Top Bottom