Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Daah nimesoma Baadhi ya comments hasa Zile za mwanzo mwanzo 2010, Wale waliocoment wakiwa ma bint sijui wapoje sikuizi.
 
Safi unamtafuta fake p

😭😭😎Nime kamisi sana kale katoto
Katoto?😭😭😭😭 sikupi zawadi shenzy
Aikooooo! Umekua sasa?
Hahahaha sidhani ila Fake P
Nilikua likizo nikajua mtajifunza na nidhamu kidogo,😎😎 kumbe bado mpo vile vile narudi na zawadi zangu mimi😭😭😭😭
 
Katoto?😭😭😭😭 sikupi zawadi shenzy

Aikooooo! Umekua sasa?

Nilikua likizo nikajua mtajifunza na nidhamu kidogo,😎😎 kumbe bado mpo vile vile narudi na zawadi zangu mimi😭😭😭😭
Husemwi wewe mwezi umepotea huonekani , πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zawadi unarudi nazo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…