Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

Daah nimesoma Baadhi ya comments hasa Zile za mwanzo mwanzo 2010, Wale waliocoment wakiwa ma bint sijui wapoje sikuizi.
 
Katoto?😭😭😭😭 sikupi zawadi shenzy

Aikooooo! Umekua sasa?

Nilikua likizo nikajua mtajifunza na nidhamu kidogo,😎😎 kumbe bado mpo vile vile narudi na zawadi zangu mimi😭😭😭😭
Husemwi wewe mwezi umepotea huonekani , 🤣😂😂😂 zawadi unarudi nazo wapi
 
Back
Top Bottom