Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
hahaa jamani Iribini umenikumbusha mama wa rafiki yangu alituambia eti 'enzi zetu chupi ilikuwa inafunika ****** sio nyie ****** yanafunika chupi' haaaaa lol!!!
Ni kweli au si kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa jamani Iribini umenikumbusha mama wa rafiki yangu alituambia eti 'enzi zetu chupi ilikuwa inafunika ****** sio nyie ****** yanafunika chupi' haaaaa lol!!!
ujumbe umewafikia...........mmh ebu acha kutudanganya,si umesema mchuzi?mchuzi unaumiza?si ungekinga bakuli basi?
hahahahahaha!kuna kamwalimu ka hesabati kalikuwa kananambia nikapenyezee bange, hako kamwalimu kalikuwa kanavuta kuliko bobu male! kama hujakapenyezea bange kanakuloga wewe na familia yako! kakishavuta bange zake mpaka 1+1 utakaona kanatafuta kalkuleta.
kuna kamwalimu ka hesabati kalikuwa kananambia nikapenyezee bange, hako kamwalimu kalikuwa kanavuta kuliko bobu male! kama hujakapenyezea bange kanakuloga wewe na familia yako! kakishavuta bange zake mpaka 1+1 utakaona kanatafuta kalkuleta.
ujumbe umewafikia...........
HE! Uzee mbaya au? Kwani hivi Pearl ni She/He?
kuna kamwalimu ka hesabati kalikuwa kananambia nikapenyezee bange, hako kamwalimu kalikuwa kanavuta kuliko bobu male! kama hujakapenyezea bange kanakuloga wewe na familia yako! kakishavuta bange zake mpaka 1+1 utakaona kanatafuta kalkuleta.
hehehe!uzee m'baya mkuu!....HE! Uzee mbaya au? Kwani hivi Pearl ni She/He?
jamani mm ni she
Ni kweli au si kweli?
wakati wa balehe,
TUCHUCHU TULIVIMBA SANA NANDI KULIKUWA KAMA KUNA VIPEKE VIGUMUSANA!TUKISIMAMA MSTARINI WAKATI WA JOTO TUCHUCHU TULIKUWA TUNATOA MAJI
halafu vile vipeke vilikuwa vinauma sana
Mungu wangu na Baba Yangu! Laiti ningejua mapema!
haaaaaaa haaaa haaa mkuu geoff unauwa ! acha nirudi rivazi nikakugongee anaza wan!leo MBU watajijua na plasimodiumu zao!..:
The Following User Says Thank You to Geoff For This Useful Post: klorokwini (Today)
.....nakumbuka WETI-DRIMU!...umenikumbusha,tulikuwa tunaenda mtoni kuvinda vidudu vyeusi hivi,sijui kama ni samaki au la,then unaweka kwenye maziwa ili ang'ate,alafu panavimba,unafurahi na kujitapa maziwa yameanza kuota,kweli natamani kurudi nyuma
Mungu wangu na Baba Yangu! Laiti ningejua mapema!
HEHEHE!haaaaaaa haaaa haaa mkuu geoff unauwa ! acha nirudi rivazi nikakugongee anaza wan!