Asante kwa mawazo haya.Mtaanza na kudia mafao ya marehemu wa zamani yaongezwe Sasa ebu kubalini uhalisia kuwa mlistaafuu na pesa mliyopewa mda ule ilistahili na ilifaa tatizo wastaafu wa zamani wakiamini kurudi kijijini kwao ndio mpango mzima wakastaafu wakarudi maeneo ambayo hawakuwepo zaidi ya miaka therathini wengine wakakimbia na familia wakaenda kwa vibinti vya mjini
Wastaafu ni kama yatima, hawana wa kuwasemea. Vyama vya wafanyakazi wanatetea kama Bado uko kazini, ukistaafu wanakuona useless.Napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki.
Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na kwa sheria za zamani hawakuruhusiwa kufanya biashara enzi hizo.
Baada ya mishahara kupanda bidhaa nazo kwa hakika zitapanda kwa kiasi kikubwa hawa wazee wanyonge wataishije? wakumbukeni wastaafu na wazee wenu pia.
Chezea kustaafu,utamu wa Ngoma uingie ucheze!Umri wa kustaafu pia uangaliwe upya, Miaka 50 iwe ni kustaafu kwa hiari 55 iwe ni umri wa lazima ili vijana nao wapate ajira.
Sasa mstaafu alipwe kwa uhalisia wa maisha ya Sasa anazalisha nini mjumbe, kipato alicholipwa kilimfaa mda ule kuandaa maisha yake ya sasa,Asante kwa mawazo haya.
Maoni yako ni haki yako.
Hata hivyo ungefahamu kiwango wanachopewa, uhalisi wa maisha yao na mengineyo huenda ungeandika tofauti.
Nahisi kuwa ungejipa muda wa kutosha kutafakari kwa kina kabla hujajibu hivyo ungetoa jibu bora zaidi linalosawiri haiba yako.
Kwa mawazo yako haya unadhani pensheni iliwekwa kwa akili ya nini? Siyo kwamba imsaidie huyu aliyetumikia Taifa wakati ameishiwa nguvu za mwili na kiuchumi? Mawazo yako yanakutuma mtumishi aliyestaafu Hana faida yoyote na unatamani pensheni ifutwe kabisa!Sasa mstaafu alipwe kwa uhalisia wa maisha ya Sasa anazalisha nini mjumbe, kipato alicholipwa kilimfaa mda ule kuandaa maisha yake ya sasa,
Cha msingi hapa nikukumbusha watu wlaiopo makazini kuandaa maisha yao ya kustaafu waakiwa bado wapo kwenye ajira hii itapunguza mambo kama haya
Dogo, jitafakari Sana na chunga kinywa chako kwani uyanenayo Sasa yana tabia ya kupiga Kona na kurejea yalikotoka! Mungu fundi mno yaani atakupa maisha marefu ili aone Kama ulijiandaa na mwisho atakusaidia ulipwe pensheni Yako akuongoze kuipeleka ulikowanenea wengine ili watakaokuwepo waandike tofauti na wewe na au wakukumbushe!Sasa mstaafu alipwe kwa uhalisia wa maisha ya Sasa anazalisha nini mjumbe, kipato alicholipwa kilimfaa mda ule kuandaa maisha yake ya sasa,
Cha msingi hapa nikukumbusha watu wlaiopo makazini kuandaa maisha yao ya kustaafu waakiwa bado wapo kwenye ajira hii itapunguza mambo kama haya
Sasa mstaafu alipwe kwa uhalisia wa maisha ya Sasa anazalisha nini mjumbe, kipato alicholipwa kilimfaa mda ule kuandaa maisha yake ya sasa,
Cha msingi hapa nikukumbusha watu wlaiopo makazini kuandaa maisha yao ya kustaafu waakiwa bado wapo kwenye ajira hii itapunguza mambo kama haya
Usisahau na wewe siku moja utastaafu. Na wala siyo mbali saaana.Mtaanza na kudia mafao ya marehemu wa zamani yaongezwe Sasa ebu kubalini uhalisia kuwa mlistaafuu na pesa mliyopewa mda ule ilistahili na ilifaa tatizo wastaafu wa zamani wakiamini kurudi kijijini kwao ndio mpango mzima wakastaafu wakarudi maeneo ambayo hawakuwepo zaidi ya miaka therathini wengine wakakimbia na familia wakaenda kwa vibinti vya mjini
Naunga mkono hojaNapenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki.
Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na kwa sheria za zamani hawakuruhusiwa kufanya biashara enzi hizo.
Baada ya mishahara kupanda bidhaa nazo kwa hakika zitapanda kwa kiasi kikubwa hawa wazee wanyonge wataishije? wakumbukeni wastaafu na wazee wenu pia.
Huyu amenishangaza sana, kwa sasa yeye kama ni mtumishi mwenye umri mdogo atajiona ana akili sana, lakini huko mbele atayaona.Dogo, jitafakari Sana na chunga kinywa chako kwani uyanenayo Sasa yana tabia ya kupiga Kona na kurejea yalikotoka! Mungu fundi mno yaani atakupa maisha marefu ili aone Kama ulijiandaa na mwisho atakusaidia ulipwe pensheni Yako akuongoze kuipeleka ulikowanenea wengine ili watakaokuwepo waandike tofauti na wewe na au wakukumbushe!
Dunia Ina kanuni zake nenda nazo taratibu!
Napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki.
Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na kwa sheria za zamani hawakuruhusiwa kufanya biashara enzi hizo.
Baada ya mishahara kupanda bidhaa nazo kwa hakika zitapanda kwa kiasi kikubwa hawa wazee wanyonge wataishije? wakumbukeni wastaafu na wazee wenu pia.
Utakapostaafu utakumbuka kuwa ulichangia hoja kitoto Sana.Sasa mstaafu alipwe kwa uhalisia wa maisha ya Sasa anazalisha nini mjumbe, kipato alicholipwa kilimfaa mda ule kuandaa maisha yake ya sasa,
Cha msingi hapa nikukumbusha watu wlaiopo makazini kuandaa maisha yao ya kustaafu waakiwa bado wapo kwenye ajira hii itapunguza mambo kama haya