Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

Ndugu yangu, kikundi cha vijana wapigania uhuru kimeiamsha duni nzima, kumbuka: Palestine hana jeshi wala wanajeshi.

Faiza sasa kwanini watu wanaandamana dunia kama kimesimamisha dunia, furaha za jumamosi hazikufanya watu waandamane kwanini
 
Faiza sasa kwanini watu wanaandamana dunia kama kimesimamisha dunia, furaha za jumamosi hazikufanya watu waandamane kwanini
Wanaandamana wanaelewa kinachoendelea, hivi wewe unaona ni sawa watu zaidi ya million mbili kuzuiwa kupata chakula, maji, umeme na kurushiwa mabomu?

Kwa lipi zaidi? Hao watu kwa miaka zaidi ya 700 sasa wapo jela ya wazi. Wafungwa wachache wakitoroka na kuja kulipiza kisasi ndiyo uuwe wafungwa wote?
 
Mzuka wanajamvi!

Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas.

Wakurd hawajali kabisa yanayotokea palestina kwasababu wanachuki na waarabu, waajemi na waturuki kwa kuwakandamiza na kuwaua kwa kutetea kupata taifa Lao la Kurdistan.

Ikumbukwe hata wanawake wengi wakurd hawapendi kuvaa hijab wanadai ni mila ya kiarabu.

Na ndio wengi wao walikuwa wakiandamana Iran kupinga kulazimishwa kuvaa Hijab.

Mungu wabariki wakurd na Wayahudi.

View attachment 2782265View attachment 2782266

Cc CARDLESS
Hivi hao wayahudi walioua mitume na manabii wengi hata wakafanya jaribio la kumuua nabii Issa masihi mwana wa Maryamu ambaye manaswara (wakristo) wanamuita yesu mnapataje ujasiri wa kuwaita taifa teule?! na mnavuka mipaka Hadi kuwaita watakatifu?! Myahudi mwenye historia chafu tangu nabii Musa akiwa hai alianza lini kuwa mtakatifu?!
 
Wanaandamana wanaelewa kinachoendelea, hivi wewe unaona ni sawa watu zaidi ya million mbili kuzuiwa kupata chakula, maji, umeme na kurushiwa mabomu?

Kwa lipi zaidi? Hao watu kwa miaka zaidi ya 700 sasa wapo jela ya wazi. Wafungwa wachache wakitoroka na kuja kulipiza kisasi ndiyo uuwe wafungwa wote?

Sio sawa, Ila kwanini mtu kama wewe unaeelewa dini vema unashangaa mapigano haya wakati unajua si ya leo wala jana bali ni ya karne na karne za miaka iliyopita na hayatakoma

Shida ni moja, Uislamu mnauingiza kwenye mambo ambayo yanachafua dini yenu na hayasafishiki

Hawa watu wanapigana BC

Hivi EGYPT ni mjinga kukaa kimya, ANAWAELEWA VEMA SANA hao watu
 
Hapana siyo ya karne. usihusishe story za bibilia na mipaka iliyopo leo. Hata ukizihusisha, hakuna nchi iliyoitwa israel

Haya mapigano na machafuko yameanza 1948. Yametengeneza na Mwingereza na Mmarekani baada ya vita kuu ya pili ya dunia. Kwanini? Kwa kuwa wao walikuwa hawawataki wayahudi huko Ulaya na USA. Waliwaua wengi sana. Hujasoma kuhusu mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Hitler?
 
View: https://youtu.be/RcPbLQwQaS8?si=t5opFRQ92uWlUmQZ

Msikilize Dr. Sule, shehe mwanahistoria ameelezea kwa kina sana juu ya mgogoro huu

Kama humuamini huyu shehe sitakua na majibu hata mimi
 
Hata Zanzibar hawajafanya maandamano.

London, Uingereza:

View: https://youtu.be/AFr2M0qgXxg?si=BLaSGd_w-QjiI0KU

Wazungu walikosea sana kuachia haya mazombi yenu yawe mengi kwao

Clipboard05.png
 
Hao wanaoandamana kwanini hawakufanya hivyo siku waisrael wanachinjwa?
 
See northern part of Sahara desert life style and economic, UAE ,and some countries of medle East wapo very well,in every thing.....utajiri flan HV then check South of Sahara countries , tortoise economic growth, wamba wanaweza pigana Vita miaka Ila waki simama Tu maendeleo Kama hakujawah kuwa na Vita Ila huku Kwetu sweken hakusomeki, angalia hata list ya matajir bongo na duniani , I swear to god if Arabs were poor ,wangekuwa wahanga nambari moja wa ubaguzi wa rangi......chuki chuki chuki
Nchi zetu za subsaharan, tatizo kubwa ni uongozi! Viongozi wetu wana vision moja tu, kuhakikisha chama kinakaa madarakan.
 
Siifurahii hii vita kwasababu waathirika wakubwa ni raia wa kawaida wasiokuwa na hatia.
 
Sasa hata dunia nzima iandamane ndio israel itaacha kutoa kipigo cha mbwa mwizi kwa hamas? Hao wanaoandamana waache unafiki wawachukue wapelistina wakawape hifadhi kama vipi
 
Hata waislamu hawaungi mkono kitendo kilichofanywa na Hamas kulianzisha ndo maana wapo kimya
 
Sasa hata dunia nzima iandamane ndio israel itaacha kutoa kipigo cha mbwa mwizi kwa hamas? Hao wanaoandamana waache unafiki wawachukue wapelistina wakawape hifadhi kama vipi
Hamas hawana uwezo wa kupigana na IDF wanachoweza ni kufanya mastukizi.
Then wanajifichia kwa raia.
Lengo la Israel kutaka raia waondoke anataka afumue underground kambi za Hamas yaani aigeuze Gaza juu chini kuteketeza maficho yote ya Hamasi.
Wapalestina wote hata milion 15 hawafiki wangetawanywa nchi za kiarabu.
Au Kaskazini mwa Africa wapewe ardhi wajengewe miji,ndio ufumbuzi nje ya hapo watauwana sana.
 
Mzuka wanajamvi!

Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas.

Wakurd hawajali kabisa yanayotokea palestina kwasababu wanachuki na waarabu, waajemi na waturuki kwa kuwakandamiza na kuwaua kwa kutetea kupata taifa Lao la Kurdistan.

Ikumbukwe hata wanawake wengi wakurd hawapendi kuvaa hijab wanadai ni mila ya kiarabu.

Na ndio wengi wao walikuwa wakiandamana Iran kupinga kulazimishwa kuvaa Hijab.

Mungu wabariki wakurd na Wayahudi.

View attachment 2782265View attachment 2782266

Cc CARDLESS
Ukisoma Kwa utulivu mwa 11:31 utatambua hao waebrania Wana asili ya wapi Ibrahim alitoka uru ya ukalidayo upànde wa kaskazini mashariki ya Iraq ya sasa ambayo iliitwa babeli hapo kale upànde huo Leo hii wanapatikana wakuldi ambao hawakubali ya kua ni waarabu Kati Yao wapo waislamu wakristo na din zao za kale
Ndiyo maana wakuldi wanalindwa Sana na Jamaal zao wa magharibi
Huko enjili inahubiliwa na wapo wanaoongoka
 
Back
Top Bottom