Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

Nipo na waIRAN wengi sana CANADA, jamaa hawaupendi UISLAM KUFA, na wengi wakifika hapa wanakuwa wakristo

DV lottery mwaka jana imebeba waIran 4000+, Wamisri 4000, wa SAUDI ALIPOFIA MTUME 4000+

Hamasi wakipewa GAZA leo, Palestina haikaliki
inafikirisha hawa jamii ya kiarabu hutamani sana kwenda ulaya magharibu na canada na US na si kwa arabs wenzao au rafiki zao kama china, urusi au korea njaa.
 
Mbona yehova hakuwaokoa wayahudi kutoka mikononi mwa Hitra badala yake wakaja kuokolewa na Usoviet?
Yehova aliwatumia hao wasoviet kuwaokoa hupo hapo? Allah anashindwa hata kuwatumia waarabu wenyewe kwa wenyewe wanachukiana na kuuana hupoooo mkuu??
 
Sasa hata dunia nzima iandamane ndio israel itaacha kutoa kipigo cha mbwa mwizi kwa hamas? Hao wanaoandamana waache unafiki wawachukue wapelistina wakawape hifadhi kama vipi
Hapana, hilo ndilo lengo na kusudio la wayahudi na Wamarekani, Wapalestina wabaki na kufia kwao, na sasa tunaanza kampeni ya kuwarudisha. Irudi kama ilivyokuwa kabla ya 1948, wayahudi walikuwa ni tabaka dogo tu la kidini (minority).
 
Hahahahaha....we jamaa
 
WE mc
Mangi acha chuki itakuua, haikuingizi mbinguni wala sio ibada
 
Sasa hata dunia nzima iandamane ndio israel itaacha kutoa kipigo cha mbwa mwizi kwa hamas? Hao wanaoandamana waache unafiki wawachukue wapelistina wakawape hifadhi kama vipi

Siwapendi Jews,hao ni wakatili sana.Na anakuchekea kumbe anataka kukuua. Hitler alitakiwa awamalize wote mbwa wale.
Afadhali Jews kuliko miarabu na dini yao.

Vipi mswahili mwenzako?
 
Ni wanafki sana na wabaguzi sana.Hawana huruma kabisa,wao maslahi yao mbele kwanza.Wapo tayari kufanya lolote kwa sababu ya maslahi yao.
Hiyo sio tabia ya Wayahudi peke yao.

Hata Waafrika weusi, Wazungu, na hasa Waarabu na Wahindi wapo wenye tabia hizo

Ubaguzi na kujali maslahi binafsi upo hata hapa nchini.

Tazama viobgozi wengi wa CCM walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…