Wakurugenzi wa Halmashauri , Mnapata wapi Hela ya kujengea Michepuko Nyumba wakati mshahara wenu ni Milioni 3 tu?.

Wakurugenzi wa Halmashauri , Mnapata wapi Hela ya kujengea Michepuko Nyumba wakati mshahara wenu ni Milioni 3 tu?.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Katika watu wanaokula Kwa Urefu wa Kamba zao Hela za Watanzania nihawa viumbe .

Alafu wajanja sana, unakuta wametengeneza ka cheini hivi ka ulaji kanakowahusisha mpaka na Ma DC husika .

Wewe DED, unapata wapi Hela za kujengea Michepuko zaidi ya mitano Nyumba? Na Gari ?.

Duuhh Hii Nchi !!!.
 
Ukiwa na icho cheo Kuna deal automatical zinakuja zenyewe,hiyo ni kote kote ata kama wewe ungepewa icho cheo ungekula,ishu za kula ten percent kwenye zabuni mbali mbali ,.etc .acha wale kutesa kwa zamu ,ela inarudi mtaani kwenye mzunguko,kuliko wanaoenda kuficha ela mamtoni
 
Eti watu wanafurahia upigaji na hakuna wa kuhoji kwa sababu za kutokuwa na mshipa wa haya wala Soni

Unafagiliaje upigaji kama wewe sio mwehu?

Nchi itabaki kuwa na ajali kila kukicha, nchi itakuwa na viongozi wanaowaambia mjadili waganga wa kienyeji

Nchi ina watu ambao hawajui kizuri na kibaya tofauti zake

Poleni sana
 
PM amekuwa mwaba mkali kwa hawa washenzi. Lakini kama unavyojua nchi yetu kuna watu wanamtengenezea figisu ili ang'olewe na wao waendelee kula.
Yes KM Huu muda nikama amewajulia namna ya kudeal nao

Sema ndo ivo
 
Eti watu wanafurahia upigaji na hakuna wa kuhoji kwa sababu za kutokuwa na mshipa wa haya wala Soni

Unafagiliaje upigaji kama wewe sio mwehu?

Nchi itabaki kuwa na ajali kila kila kukicha, nchi itakuwa na viongozi wanaowaambia mjadili waganga wa kienyeji

Nchi ina watu ambao hawajui kizuri na kibaya tofauti zake

Poleni sana
Upigwaji haufai .
 
Back
Top Bottom