Wakurugenzi wa Halmashauri , Mnapata wapi Hela ya kujengea Michepuko Nyumba wakati mshahara wenu ni Milioni 3 tu?.

Wakurugenzi wa Halmashauri , Mnapata wapi Hela ya kujengea Michepuko Nyumba wakati mshahara wenu ni Milioni 3 tu?.

Katika watu wanaokula Kwa Urefu wa Kamba zao Hela za Watanzania nihawa viumbe .

Alafu wajanja sana, unakuta wametengeneza ka cheini hivi ka ulaji kanakowahusisha mpaka na Ma DC husika .

Wewe DED, unapata wapi Hela za kujengea Michepuko zaidi ya mitano Nyumba? Na Gari ?.

Duuhh Hii Nchi !!!.
Hakuna DED anayetegemea mshahara kuishi cheo ni platform TU,Tena Hela zinakuja zenyewe TU kihalali fanya utafiti sio Kila kitu mpaka uulize.
 
Eti watu wanafurahia upigaji na hakuna wa kuhoji kwa sababu za kutokuwa na mshipa wa haya wala Soni

Unafagiliaje upigaji kama wewe sio mwehu?

Nchi itabaki kuwa na ajali kila kukicha, nchi itakuwa na viongozi wanaowaambia mjadili waganga wa kienyeji

Nchi ina watu ambao hawajui kizuri na kibaya tofauti zake

Poleni sana
Uongozi ni ajira sio wito peleka ualimu
 
Mwenye orodha ya wezi serikalini wekeni hapa kila mkoa wananchi wawashughulikie Kama vibaka wa mtaani tu..Kama wataendelea kuiba🏃🏃🏃🏃
 
Katika watu wanaokula Kwa Urefu wa Kamba zao Hela za Watanzania nihawa viumbe .

Alafu wajanja sana, unakuta wametengeneza ka cheini hivi ka ulaji kanakowahusisha mpaka na Ma DC husika .

Wewe DED, unapata wapi Hela za kujengea Michepuko zaidi ya mitano Nyumba? Na Gari ?.

Duuhh Hii Nchi !!!.
Kazi iendeeleee
 
Ukiwa na icho cheo Kuna deal automatical zinakuja zenyewe,hiyo ni kote kote ata kama wewe ungepewa icho cheo ungekula,ishu za kula ten percent kwenye zabuni mbali mbali ,.etc .acha wale kutesa kwa zamu ,ela inarudi mtaani kwenye mzunguko,kuliko wanaoenda kuficha ela mamtoni
Naam
 
Back
Top Bottom