Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #21
DuuuhhUkiwa na icho cheo Kuna deal automatical zinakuja zenyewe,hiyo ni kote kote ata kama wewe ungepewa icho cheo ungekula,ishu za kula ten percent kwenye zabuni mbali mbali ,.etc .acha wale kutesa kwa zamu ,ela inarudi mtaani kwenye mzunguko,kuliko wanaoenda kuficha ela mamtoni