Wakurugenzi wa Halmashauri , Mnapata wapi Hela ya kujengea Michepuko Nyumba wakati mshahara wenu ni Milioni 3 tu?.

Duuuhh
 
Hao jamaa Wana channel ndefu ya upigaji huwezi kujua ...wala pesa za safari huwakuri ofisini.

Njoo sasa madili ya uwizi wa viwanja,kuiba mapato ,utapeli kwa wafanyabiashara ,Rushwa ndogo ndogo kwa wafanyabiashara haswa wanaoanza
 
Acha uongo wewe mataga
PM amekuwa mwaba mkali kwa hawa washenzi. Lakini kama unavyojua nchi yetu kuna watu wanamtengenezea figisu ili ang'olewe na wao waendelee kula.
 

Mbona statement iko too general, unawezaje ku generalize DEDs zaidi ya 85, this is un fair!!!
 
Pambana upate u DeD vyeo vinalipiwa hivyo
 
Kalaghabaho, maDED ndo maceo wa halmashauri zote nchini,ukiwa mjanja hufi maskini,bajeti na projects zote za halmashauri ziko chini yao,Nina mfano hai wa baadhi yao,CCM hoyeee😅😅😅
 
ĎED >DC in term of maslahi yeye ndie mkusanyaji mkuu wa mapato ya halmashauri
Halafu mtu anauliza DED anapata wapi hela?😅😅😅njoo huku mikoani uone maDED wanavyojipigia mikwanja,hata hapo daslam wanapiga sana tu,ndomana Kama hauko kwenye circle yao huwezi pata hiko cheo
 
Nchi hii kila mtu mwizi tu

Mkuu

Ova
 
Pamoja na kuwa msomi, bado unauzwazwa wa kufi#$ra.....ukichoka ntakupa boost ya dole gumba
Mh DED, usipanik... Uzi wangu nmehoji, nyie maded Mnapata wapi Pesa za kujengea Michepuko yenu nyumba.?.

Wewe Kwa makusudi kabisa, unaniambia, "Njoo Nawewe tukujengee...

Kwamba umeudharau Uanaume wangu kiasi Cha kuniona Mimi kama mchepuko wa kupelekewa moto?.


Kwa kulingatia Hilo, nikiwa na akili yangu timamu, na usomi wangu, bila unafiki ,Kwa ujasiri na nguvu zangu zote, bila kumuudhi mwanaJF yoyote, ndio maana nmekuambia Mimi ni mwanaume wa kisukuma, ngangari ,napeleka motoo, je wee ni DED mwanamke ? Kama ni mwanamke sema nije nikupelekee moto unijengee nyumba , nitaipokea kama shukrani .....

ila kama we ni DED mwanaume, na umeongea Kwa MANTIKI ya kuudharau Uanaume wangu, basi tambua Mimi sifiri.
 
Nchi hii kila mtu mwizi tu

Mkuu

Ova
Kweli Mkuu
Na hakutakuwa na maendeleo
Yaani watu wanaiba mpaka x-ray au vitendea kazi
Mara Lorry limekamatwa likitafutiwa mteja [emoji1]

Yaani ni upigaji tu
 
Iko wazi kabisa hakuna fedha inayopita kwenye idara bila kuwa na mgao wa DED, na yeye ili akae vizuri alipo lazima mgao umfikie waziri wa TAMISEMI,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…