Wakurugenzi wa Halmashauri , Mnapata wapi Hela ya kujengea Michepuko Nyumba wakati mshahara wenu ni Milioni 3 tu?.

Hakuna DED anayetegemea mshahara kuishi cheo ni platform TU,Tena Hela zinakuja zenyewe TU kihalali fanya utafiti sio Kila kitu mpaka uulize.
 
Uongozi ni ajira sio wito peleka ualimu
 
Mwenye orodha ya wezi serikalini wekeni hapa kila mkoa wananchi wawashughulikie Kama vibaka wa mtaani tu..Kama wataendelea kuibaπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kazi iendeeleee
 
Mwenye orodha ya wezi serikalini wekeni hapa kila mkoa wananchi wawashughulikie Kama vibaka wa mtaani tu..Kama wataendelea kuibaπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Hahaha
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…