johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Firstjet ndiyo nini mkuu?Price za mafuta ni kama zipo zigzag sahivi.Kama hao wakurugenzi ndo wanaleta mkanganyiko huo watiwe hatiani.
Sema yasije kuwa kama yale ya firstjet.
Asante kwa ukumbusho nshaedit.Firstjet ndiyo nini mkuu?
Ha ha haaaaa. Kirahisi hivyo. Wakilala ndani wiki lazima maji muite mma na chumvi mtanunua kama bangi.Wajinga hawa wapewe kesi ya uhujumu Uchumi. Mungu ambariki Magufuli. Viva baba kwene hili umenikoshaa.
Price za mafuta ni kama zipo zigzag sahivi.Kama hao wakurugenzi ndo wanaleta mkanganyiko huo watiwe hatiani.
Sema yasije kuwa kama yale ya fastjet.
Sina.Nimetoa kama dondoo tu.Una uhakika na ulichokiandika!?
Sina.Nimetoa kama dondoo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wanamjua jiwe hataniwi. Wewe hukuona ile habari ya kufungua petrol station ya serikali. I think it was in Dodoma. So kiama chao kinakaribia. Ila mkuu wewe fikiria mtu kutoka full tank ya 125k to 75k then wajinga wachache wanataka kuturudisha Misri wakati wenzao tushaanza kuenjoy maisha ya KananiHa ha haaaaa. Kirahisi hivyo. Wakilala ndani wiki lazima maji muite mma na chumvi mtanunua kama bangi.
Kweli aisee price za mafuta hazoko sawa kabisa ziko zigzag inatakiwa wakajibu kama wao wanausika na ukanganyifu uwo
Hazieleweki.Zigzag ndio inakuaje?
[emoji1][emoji1][emoji1]total ndo shell...????Mmmh! Mbona Total ndio sheli pekee zinazouza mafuta huku mikoani, wengine ni kama wamegoma hivi.