Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

K
Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.

Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.

Chanzo: ITV habari!
Kwa kuwa mtu ni mfanyabiashara basi awe huru kuvunja sheria za nchi?!!!!

Mwalimu Nyerere alipata kuwasemea watu wa AINA hiyo....

"Wana mfuko gani mkubwa wa kuniweka mm Nyerere nikatosha"?!!!

Zama zimebadilika Mana nakumbuka mh.Pinda alipata kusema kuwa "MAFISADI wana Mkono MREFU,MAFISADI wana mitandao yenye NGUVU"

SASA HEBU FIKIRI KIDOGO...
WAZIRI mkuu...mtendaji mkuu wa serikali...anasema hiyo mijamaa ni noma...halafu anatokea mtu aitwae BENARD MEMBE na kudai Sasa hv NCHI IMEPOTEA HAKUNA TUME HURU na turudi kule "kanani" tutokako.....
Km Kanani yenyewe NDIYO ile ALIYOILALAMIKIA mh.Pinda,basi nendeni nyinyi,mniache SIITAKI.
 
Mkuu kufanya biashara ni kazi ngumu sana.
Zote hizo ni kampuni kubwa duniani.
Toka zero hadi kutengeneza billion siyo kazi rahisi kihivyo.
Tuache roho mbaya kwa wengine.
Ujinga wa maskini mweusi anaamini umaskini wake utaisha siku tajiri akifilisiwa na serikali ndio maana unaona povu za watu wengi
 
Sasa si ndo biashara?,mfano mwaka huu watu wamestock mpunga kisha baadae kuuza kwa bei juu,
Hapa mi naona hii biashara ya mafuta ifanywe na serikali,hawa jamaa wafanye kazi za gereji kurepair magari,etc
Naunga mkono hoja maana hata kwny Korosho na Sukari wamefanya vzr sana,tena tutumie jeshi itapendeza.
 
hii kitu ni kweli.,hawa wapimbavu kuna michezo wanataka kufanya mfano kijichi tuna sheli moja tu ya oilcom lakini siku hizi kuambiwa hakuna mafuta ni jambo la kawaida
 
Mazoea yana kazi sana
Kusema Petrol Station ni issuee[emoji28][emoji28]
Shell mpango mzima
Bhanaa eeh Mrad mmeelewa shell nzo mpango mzima,..btw hujambo mrembo? Nmekumis[emoji8] ngoja nikasafishe macho ig
 
Back
Top Bottom