Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Mkuu price ya mafuta inategemea na vitu vingi sana. Bei ya shipping, gharama ya kupakua na kuhifadhi, gharama ya internal distribution, bado kodi kibao, wafanyakazi na gharama za kulipia petrol stations. Hivyo sikuona haja ya kutumia bunduki kuwatisha. Serikali inanguvu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wanamjua jiwe hataniwi. Wewe hukuona ile habari ya kufungua petrol station ya serikali. I think it was in Dodoma. So kiama chao kinakaribia. Ila mkuu wewe fikiria mtu kutoka full tank ya 125k to 75k then wajinga wachache wanataka kuturudisha Misri wakati wenzao tushaanza kuenjoy maisha ya Kanani
Ingewaita wakae waongee. Hata wao sio wendawazimu, wanasababu zao. Naomba sana msitupeleke Mtwara na Lindi na Mtibwa na Kilombero plus TPC ( korosho na sukari). Piga ua serikali haiwezi kusambaza mafuta hata mkoa mzima tu wa Dar. Hata hapo Dodoma japo ni chimbo lao hawataweza kufika Dumila. Wataishia hapo Bungeni tu. Mark my words.