Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

Mkuu price ya mafuta inategemea na vitu vingi sana. Bei ya shipping, gharama ya kupakua na kuhifadhi, gharama ya internal distribution, bado kodi kibao, wafanyakazi na gharama za kulipia petrol stations. Hivyo sikuona haja ya kutumia bunduki kuwatisha. Serikali inanguvu sana
Ingewaita wakae waongee. Hata wao sio wendawazimu, wanasababu zao. Naomba sana msitupeleke Mtwara na Lindi na Mtibwa na Kilombero plus TPC ( korosho na sukari). Piga ua serikali haiwezi kusambaza mafuta hata mkoa mzima tu wa Dar. Hata hapo Dodoma japo ni chimbo lao hawataweza kufika Dumila. Wataishia hapo Bungeni tu. Mark my words.
 
Aisee
Japo habari imekuja nusu nusu
 

Bei ya mafuta imeshuka sana kutoka $60 na hivi sasa ipo kama $25. Hiyo ni kwa sababu hakuna soko la mafuta kutokana na COVID-19 ndege nyingi ziko parking. demanding ya mafuta kwenye ulimwengu wa kwanza imshuka sana kutokana na lockdown etc. BA wanawafukuza marubani karibu 300 na wengine watapunguza mishahara kuona mwelekeo, kwa hivi sasa mafuta yapo chini sana. Je, walikuwa wanapanga nini? Kuwakomoa Watanzania kwa bei ghali?
 
Price kubwa ya mafuta ni kodi ya serikali. Kila lita 1 serikali inachukuwa kodi ya 760.
Hii issue inatakiwa ichukuliwe taratibu sana. Maana mifano ya korosho, mbaazi, sukari ni matukio ambayo yametuletea shida kubwa sana
 
Serikali
Ndiyo Ina Nguvu, Haitamvumilia Yoyote Anayetaka Kuvuruga Uchumi Wa Kati. Hao Watatueleza Ukweli
 
Y
Yakipanda duniani huko serikali itashusha bei kwa kuwa wanauza wao?
 
Naunga Mkono kukamatwa....
Haya Mambo ya kuvumiliana tunapovunja taratibu ni sheria ifikie mahali tuyaache kwa FAIDA ya taifa letu....
 
Wananunua mengi ili baadae bidhaa ikipanda waje watupige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kufanya biashara ni kazi ngumu sana.
Zote hizo ni kampuni kubwa duniani.
Toka zero hadi kutengeneza billion siyo kazi rahisi kihivyo.
Tuache roho mbaya kwa wengine.
Basi nawapa pole,,
 
Kwa kweli hii bidhaa nyakati hizi tumefaidi haijitokea kabisa kwa bei kushuka hivi, ila pia wachache wasivuruge utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…