Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite inayoitwa Sky Associates wako mikononi mwa polisi.
Ndugu Faisal shabhati na ndugu Hussein Gonga wanasemekana kudakwa na polisi maeneo ya burka Arusha.

Tusubiri updates!
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
 
CCTV Camera zimewaonesha wakitorosha mizigo mikubwa ya Tanzanite kwa wizi.

Maandishi yao yanaonesha tokea mwaka 2014 wamezalisha kilo 13 pekee za Tanzanite.

Wamekamatwa ili kuisaidia Serikali kupata ukweli wa hizo picha za cctv na kilo 13.
 
Screenshot_2017-09-09-20-27-05.png
 
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite inayoitwa Sky Associates wako mikononi mwa polisi.

Tusubiri updates!
Vipi una updates ya hali ya Mhe. Lissu? Maana uhai ya binadamu kwnz hayo mengine wala co vitu vianvyounda taifa. Taifa linaundwa na (1) watu (2) mipaka na (3) sovereignty. (Kauli mbiu) Tanzania ishi na Lissu.
 
Najua mtakurupuka! Labda kama kampuni ni ya hapa, mtaionea na mahakama zetu, kama ni ya nje na mahakama ziko nje kadri ya mkataba, mtakurupuka tu kwa sababu you are moved by politics of a single man show and not reality
what do you have as the "reality"
 
Vipi una updates ya hali ya Mhe. Lissu? Maana uhai ya binadamu kwnz hayo mengine wala co vitu vianvyounda taifa. Taifa linaundwa na (1) watu (2) mipaka na (3) sovereignty. (Kauli mbiu) Tanzania ishi na Lissu.
Lisu kazinduka aiseee na kaongea sentensi moja tuu. Kujua zaidi ngoja nije
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.

BAO LA MKONO
 
Back
Top Bottom