Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

Sizonje hana kiwango cha kupambana na wafanyabiashara kutoka nje, yeye na wasaidizi wake hawana akili nyingi. level zake ni wamachinga, kina manji, watumishi wa uma nk. Next time chagueni watu wenye akili nyingi bana!!!
Wafabyabishara kutika nje ni hao hao hao watz mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu Hii Ya Serikali Ya Viwanda Iendelee Hadi Kule Ngorongoro Ambako Yule Mwarabu Kauziwa Kipande Cha Ardhi Na Kukiita Nchi Yao

Leo Hii Ndugu Zetu Wamasai Wanateseka Sana Kisa Mwarabu Yule
Ningependa Rais Alione Hili
 
Mmesawajika!
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.

Kama binadamu yeyote yule, Rais Magufuli ana mapungufu yake, kamq ulivyokuwa kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete...! Lakini nikisema ukweli, Magufuli ni moja ya marais bora kabisa kutokea africa.

Anachokifanya now kinaweza kiwe na maumivu kwangu, kwako au mwingine...ila kizazi kijacho kitanufaika sana. Au je, unawapongeza wale waliotOa bure rasilimali zetu.?
 
We live once.

Tunakubaliana na jambo moja tu!
Ukifa ndio utaonana na aliyekufanya uwe hai!
 
 
Kwa hao waliokamatwa mpaka sasa wapo kama 10 hivi, ukichunguza account + mali zao binafsi kuanzia tarehe walioajiliwa au wakurugenzi kuanzia siku walionunu kampuni, ndiyo utajua hawa watu wamevuna kwa kiasi gani.
Kuna mengi sana hpo tanzaniteone ila uwizi upo toka enzi ya mzungu istoshe hawa sky wamepakua mzigo wa kutosha cnc wamechukua kampuni.....stamico nao wahusika kuanzia mkurugenzi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
Vumbapu.
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.

Ukifuatilia kwa lile tukio la jana la almasi na hao kuwadaka acha serikali iwanyooshe wezi tumuunge mkono kwa haya mambo kuna mengine anakosea tuzionee huruma rasilimali zetu hata kama atashindwa walau kajaribu hapa simwachi magufuli namuunga mkono 100%
 
Ahhhh ila Lissu. Je una ushahidi. Yani mna argue kitoto mpka nashangaa are you serious with this life. Leo madini mnakurupuka. Lissu hata mantiki inakataa lakini mumo tu. Loo poor you.
Rubbish, Lisu hapa anaingiaje. Tunaongelea madini siyo Lisu!
 
Mkuu nafurahia patriotism unayoionysha.
Nikupe tahadhari, ukitakiwa kumuokoa mtu anayekufa maji nenda kwa timing kali asikudake na kukunyima uwezo wa kuogelea akageuka nanga yako mkazama wote na kufa maji.

Jiulize kidogo.
Hizo almasi zimelipiwa kodi?

Usiliongezee swali la ziada kutaka kujua kodi ilikuwa stahiki ama la!

Kutaifisha haikuwa njia sahihi kwa mujibu wa mifumo na kanuni za biashara.

Kitanuka siku moja, msitufuatilie na magari meupe mkatutupukula na masasi kutumbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…