Wakurugenzi wa TISS tangu uhuru mpaka sasa. Mzee Mzena ashikilia rekodi ya kuhudumu muda mrefu zaidi

Spy chiefs waliojenga medani ni Gama, Kitine na Mahiga kuifanya medani iwe medani kweli, (Mawazo yangu haya)

Zama zile za "Hey day" uibe pesa za umma!! unaibaje kwa Mfano. Kitu gani kifanyike "white corridors" isifahamu nchi hii. Zama za kiongozi kuwa na kalamu mbili mfuko wa shati, moja yake, moja si yake. 😁

Zama ambazo ukisaini nyaraka, nyaraka inakutangulia kufika pamoja na kuwa wewe unayo kwenye bahasha. 😁

Zama ambazo Kiongozi haendi Ulaya bila kupita Geneva wakati anarudi au wakati anaenda na taarifa zake zinakuwepo hapo, anazozijua na asizozijua zinabaki hapo. Kiongozi Huendi Amerika iwe kutembea au kikazi bila kupitia au kupata simu toka kwa "Unknown" waliopo Ontario au Toronto. 😁

Mr. HAND anapanga kuchoma benki kubwa kuteketeza nyaraka baada ya wizi wa maandishi kufahamika, vijana washafika hapo benki kubwa siku mbili kabla ya njama hiyo na wametoa kopi nyaraka zote ofisini kwake na wamebakisha vivuli bila yeye na crew yake kutambua, original zikapelekwa "safe place" hapo "logs".

Wamemdaka Vienna akitorokea Brussels , Ticha kawaambia wasimuue wampe "Exile". Mr. HAND alirudi hii nchi baada ya Ticha kuvuta shuka kabla ya milenia.

Ticha anafanyiwa "Coup" jaribio linazimwa kimafia "in the blink of an eye" hapo hapo "logs" shombo la samaki.

Dah kweli muda unakwenda, nimekumbuka mbali japo kumbukumbu zangu haziwahusu na hamzijui. 😁

Mwaka 1978, Iddi Amini anaopigana vita Kyaka na vijana wa Kitine wapo hapo hapo Entebe kama raia wa Uganda wakiangalia kwa karibu uwanja wa ndege wa Entebe, nani anaruka nani anatua kwa namna gani na analeta nini. Ni busara tuu ya Ticha kutotaka kumuua Amin wala kujitwalia nchi ya Uganda. Uganda ingeshakuwa yetu. 😁

Tafsiri.
Logs=Magogo
HAND=Mkono
Exile= Uhamishoni
Coup= Jaribio la kupindua serikali.
Safe place= Sehemu salama
White corridors= Jumba jeupe (Suti nyeusi).
Unknown= isiyofahamika/wa.
😁
 
Tangu kifo cha Jiwe ,nilidhsrau hao jamaa kabisa.
Hata mimi aisee, lile tukio lilionyesha weakness kubwa sana kwa haa majamaa, kabla ya tukio, wakati wa tukio na baada ya tukio kna namna kama walifanya wajibu wao walifanya katika kawaida sana na matokeo yake ndio tulio nayo leo na hata kesho na pengine kesho kutwa pia.

Seheme nyingine naona wali kwama ni ile ya mchakato wa kuungana, sijiu kama walisimama vizuri kwenye wajibu wao, matokeo yake ndio tunayo yaona leo na kuendelea!

Bado na hili la kutoona hiki chama kilichopo mamlakani kama kina nia njema na taifa hili sasa na kesho.
 
Spy chiefs waliojenga medani ni Gama, Kitine na Mahiga kuifanya medani iwe medani kweli, (Mawazo yangu haya)

Zama zile za "Hey day" uibe pesa za umma!! unaibaje kwa Mfano. Kitu gani kifanyike "white corridors" isifahamu nchi hii. Zama za kiongozi kuwa na kalamu mbili mfuko wa shati, moja yake, moja si yake. 😁

Zama ambazo ukisaini nyaraka, nyaraka inakutangulia kufika pamoja na kuwa wewe unayo kwenye bahasha. 😁

Zama ambazo Kiongozi haendi Ulaya bila kupita Geneva wakati anarudi au wakati anaenda na taarifa zake zinakuwepo hapo, anazozijua na asizozijua zinabaki hapo. Kiongozi Huendi Amerika iwe kutembea au kikazi bila kupitia au kupata simu toka kwa "Unknown" waliopo Ontario au Toronto. 😁

Mr. HAND anapanga kuchoma benki kubwa kuteketeza nyaraka baada ya wizi wa maandishi kufahamika, vijana washafika hapo benki kubwa siku mbili kabla ya njama hiyo na wametoa kopi nyaraka zote ofisini kwake na wamebakisha vivuli bila yeye na crew yake kutambua, original zikapelekwa "safe place" hapo "logs".

Wamemdaka Geneva, Ticha kawaambia wasimuue wampe "Exile". Mr. HAND alirudi hii nchi baada ya Ticha kuvuta shuka kabla ya milenia.

Ticha anafanyiwa "Coup" jaribio linazimwa kimafia "in the blink of an eye" hapo hapo "logs" shombo la samaki.

Dah kweli muda unakwenda, nimekumbuka mbali japo kumbukumbu zangu haziwahusu na hamzijui. 😁

Mwaka 1978, Iddi Amini anaopigana vita Kyaka na vijana wa Kitine wapo hapo hapo Entebe kama raia wa Uganda. Ni busara tuu ya Ticha kutotaka kumuua Amin wala kujitwalia nchi ya Uganda. 😁

Tafsiri.
Logs=Magogo
HAND=Mkono
Exile= Uhamishoni
Coup= Jaribio la kupindua serikali.
Safe place= Sehemu salama
White corridors= Jumba jeupe (Suti nyeusi).
Unknown= isiyofahamika/wa.
😁
Zamani walau hilo tawi maalum licha ya UCCM iliibua majizi sababu wazalendo wa kweli walikuwepo nakumbuka alipoibuliwa Hans Kitine alipofoji document za matibabu ya mkewe Canada.

Siku hizi kazi yao ni kuteka wapinzani na kujisifia kulinda majizi ya CCM.
 
Zamani walau hilo tawi maalum licha ya UCCM iliibua majizi sababu wazalendo wa kweli walikuwepo nakumbuka alipoibuliwa Hans Kitine alipofoji document za matibu ya mkewe Canada.

Siku hizi kazi yao ni kuteka wapinzani na kujisifia kulinda majizi ya CCM.

Medani imekuwa ya hovyo sana hasa baada ya Rukhsa kuja juu. Watu huchukuliwa shule za kata kuingizwa medani siku hizi. Zamani wana medani wanakuwa "spotted, recruited and vetted at a fairly tender age" toka shule zenye vipaji, seminari na vipanga kweli kweli, unaingia medani, hujui lolote wao ndio wanaanza kuweka kitu kwenye kichwa chako, unapikwa unaiva, unaingia kwa uzalendo na upendo mkubwa kuitumikia nchi hii. What a move.

Siku hizi mtu anataka aende medani akavimbe, apate mademu na hela. Shame

Well, gone are the days.
 
Kama mpaka Kariakoo wanaandamana, wao hawajui, its disastrous, kama mpaka Kariakoo kuna vitu wanalalamikia wao hawajui, its strange, kama mpaka Mkuu wa Wilaya ya Ubungo anakuwa embarrased na wao hawakumpa sauti ya ardhini, its a joke, kama vizimba Kariakoo vinagawiwa hovyo hovyo, mpaka watu wanaandamana, wao hawajui, sasa lipi watalijua!?
Jiheshimu comrade 🙂
 
Spy chiefs waliojenga medani ni Gama, Kitine na Mahiga kuifanya medani iwe medani kweli, (Mawazo yangu haya)

Zama zile za "Hey day" uibe pesa za umma!! unaibaje kwa Mfano. Kitu gani kifanyike "white corridors" isifahamu nchi hii. Zama za kiongozi kuwa na kalamu mbili mfuko wa shati, moja yake, moja si yake. 😁

Zama ambazo ukisaini nyaraka, nyaraka inakutangulia kufika pamoja na kuwa wewe unayo kwenye bahasha. 😁

Zama ambazo Kiongozi haendi Ulaya bila kupita Geneva wakati anarudi au wakati anaenda na taarifa zake zinakuwepo hapo, anazozijua na asizozijua zinabaki hapo. Kiongozi Huendi Amerika iwe kutembea au kikazi bila kupitia au kupata simu toka kwa "Unknown" waliopo Ontario au Toronto. 😁

Mr. HAND anapanga kuchoma benki kubwa kuteketeza nyaraka baada ya wizi wa maandishi kufahamika, vijana washafika hapo benki kubwa siku mbili kabla ya njama hiyo na wametoa kopi nyaraka zote ofisini kwake na wamebakisha vivuli bila yeye na crew yake kutambua, original zikapelekwa "safe place" hapo "logs".

Wamemdaka Geneva, Ticha kawaambia wasimuue wampe "Exile". Mr. HAND alirudi hii nchi baada ya Ticha kuvuta shuka kabla ya milenia.

Ticha anafanyiwa "Coup" jaribio linazimwa kimafia "in the blink of an eye" hapo hapo "logs" shombo la samaki.

Dah kweli muda unakwenda, nimekumbuka mbali japo kumbukumbu zangu haziwahusu na hamzijui. 😁

Mwaka 1978, Iddi Amini anaopigana vita Kyaka na vijana wa Kitine wapo hapo hapo Entebe kama raia wa Uganda wakiangalia kwa karibu uwanja wa ndege wa Entebe, nani anaruka nani anatua kwa namna gani na analeta nini. Ni busara tuu ya Ticha kutotaka kumuua Amin wala kujitwalia nchi ya Uganda. Uganda ingeshakuwa yetu. 😁

Tafsiri.
Logs=Magogo
HAND=Mkono
Exile= Uhamishoni
Coup= Jaribio la kupindua serikali.
Safe place= Sehemu salama
White corridors= Jumba jeupe (Suti nyeusi).
Unknown= isiyofahamika/wa.
😁
Good
 
Hivi kwa Tanzania ni vigezo gani vinazingatiwa kumpata DG wa TISS? 🤔
Kwa sasa hawaangali vigezo
Mwendo wa kuchomekana
Kikubwa uilinde ccm tu
Medani imekuwa ya hovyo sana hasa baada ya Rukhsa kuja juu. Watu huchukuliwa shule za kata kuingizwa medani siku hizi. Zamani wana medani wanakuwa "spotted, recruited and vetted at a fairly tender age" toka shule zenye vipaji, seminari na vipanga kweli kweli, unaingia medani, hujui lolote wao ndio wanaanza kuweka kitu kwenye kichwa chako, unapikwa unaiva, unaingia kwa uzalendo na upendo mkubwa kuitumikia nchi hii. What a move.

Siku hizi mtu anataka aende medani akavimbe, apate mademu na hela. Shame

Well, gone are the days.
Siku hizi ni kuchomekana tu

Ova
 
Back
Top Bottom