FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
Unamaanisha ni connection pekee ndiyo inakupatia hiyo nafasi mhimu zaidi kwa ajili ya usalama wa taifa Zima? 🤔Kwa sasa hawaangali vigezo
Mwendo wa kuchomekana
Kikubwa uilinde ccm tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha ni connection pekee ndiyo inakupatia hiyo nafasi mhimu zaidi kwa ajili ya usalama wa taifa Zima? 🤔Kwa sasa hawaangali vigezo
Mwendo wa kuchomekana
Kikubwa uilinde ccm tu
Ova
Kama hiz ndio kaz za Tiss basi tumekwisha kama taifaKama mpaka Kariakoo wanaandamana, wao hawajui, its disastrous, kama mpaka Kariakoo kuna vitu wanalalamikia wao hawajui, its strange, kama mpaka Mkuu wa Wilaya ya Ubungo anakuwa embarrased na wao hawakumpa sauti ya ardhini, its a joke, kama vizimba Kariakoo vinagawiwa hovyo hovyo, mpaka watu wanaandamana, wao hawajui, sasa lipi watalijua!?
Nyerere miaka 24 walihudumu watano tu but kutoka 2023 hadi 2024 tayari wameshahudumu wanne!!!!1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Wengine ni kama ifuatavyo:
2. Dkt. Lawrence Gama: 1975-1978
3. Dkt Hassy Kitinr: 1978 - 1980
4. Dkt. Augustine Mahiga: 1980-1983
5. Luteni Jemerali Imran Kombe: 1983-1995
6. Kanali Apson Cornell Mwang'onda: 1995 - 2005
7. Othman Rashid: 2005 - 2016
8. Dkt. Modestus Kipilimba: 2016 - 2019
9. CP Rajabu Diwani: 2019 - 2023
10. Saidi Hussein Massoro: 2023 - 2023
11. Balozi Ali Siwa: 2023 - 2024
12. Suleiman Abubakar Mombo: 2024 - Hadi sasa
PIA SOMA
- Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu
- Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru
Anataka wafanye anavyotaka sio yeye afanye wanavyotakaNa wote hawa wamehudumu na mama. Amevunja rekodi mpaka sasa amehudumu na wanne.
Kuna yule mkurugenzi wakati wake tulishuhudia kuuwawa, kutekwa, kupotea, maiti kuokotwa beah na mambo mengine ya hovyo hivi huyu shushu no. Moja aliesomea wapi, lazima itakuwa kokea kas. au russia1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Wengine ni kama ifuatavyo:
2. Dkt. Lawrence Gama: 1975-1978
3. Dkt Hassy Kitinr: 1978 - 1980
4. Dkt. Augustine Mahiga: 1980-1983
5. Luteni Jemerali Imran Kombe: 1983-1995
6. Kanali Apson Cornell Mwang'onda: 1995 - 2005
7. Othman Rashid: 2005 - 2016
8. Dkt. Modestus Kipilimba: 2016 - 2019
9. CP Rajabu Diwani: 2019 - 2023
10. Saidi Hussein Massoro: 2023 - 2023
11. Balozi Ali Siwa: 2023 - 2024
12. Suleiman Abubakar Mombo: 2024 - Hadi sasa
PIA SOMA
- Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu
- Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru
Walipoanza kucompromize na ccm nakufuata amri za ccm ndipo waliposhusha hadhi yaoKimsingi kwa sasa hicho cheo hakina tofauti na vyeo vya ccm tu, Mfano Makalla anaweza kuwa na nguvu kuliko Mkurugenzi wa TISS
Huyo alikuwa ni Askari polisi.Yule jamaa alikuwa anaitwa Jack Zoka kumbe hakuwa Mkurugenzi? Ufafanuzi zaidi mkuu
NakaziaKimsingi kwa sasa hicho cheo hakina tofauti na vyeo vya ccm tu, Mfano Makalla anaweza kuwa na nguvu kuliko Mkurugenzi wa TISS
Ndiyo Ukweliwote ni makada wa CCM/TANU hao
Je, nchi hii ya Tanzania na Wananchi wake wamenufaika na nini kutoka kwa kila mmoja uliyemtaja kwenye orodha hii??????? Eleza kwa kina manufaa yaliyopatikana kutoka kwao.1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Wengine ni kama ifuatavyo:
2. Dkt. Lawrence Gama: 1975-1978
3. Dkt Hassy Kitinr: 1978 - 1980
4. Dkt. Augustine Mahiga: 1980-1983
5. Luteni Jemerali Imran Kombe: 1983-1995
6. Kanali Apson Cornell Mwang'onda: 1995 - 2005
7. Othman Rashid: 2005 - 2016
8. Dkt. Modestus Kipilimba: 2016 - 2019
9. CP Rajabu Diwani: 2019 - 2023
10. Saidi Hussein Massoro: 2023 - 2023
11. Balozi Ali Siwa: 2023 - 2024
12. Suleiman Abubakar Mombo: 2024 - Hadi sasa
PIA SOMA
- Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu
- Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru
... wanajua kudondosha vitambulisho vyao Baa kwa Bahati mbaya! ... sorry, kwa Bahati nzuri!Kama mpaka Kariakoo wanaandamana, wao hawajui, its disastrous, kama mpaka Kariakoo kuna vitu wanalalamikia wao hawajui, its strange, kama mpaka Mkuu wa Wilaya ya Ubungo anakuwa embarrased na wao hawakumpa sauti ya ardhini, its a joke, kama vizimba Kariakoo vinagawiwa hovyo hovyo, mpaka watu wanaandamana, wao hawajui, sasa lipi watalijua!?
Kwa 100% wanafanya kazi za ccm badala ya kufanya kazi za NchiWalipoanza kucompromize na ccm nakufuata amri za ccm ndipo waliposhusha hadhi yao
Rushwa imewapofusha wako bize pamoja na maccm wanaplan jinsi ya kuiibia nchi
Nimemgugo alikuwa Mkurugenzi msaidizi.Huyo alikuwa ni Askari polisi.
Nani alikuwambia alikuwa DGISS
Wala siyo mbaliMakalla?
Mkuu huko umekwenda mbali.
Hebu taja mwingine.