Wakurugenzi wa TISS tangu uhuru mpaka sasa. Mzee Mzena ashikilia rekodi ya kuhudumu muda mrefu zaidi

Kama hiz ndio kaz za Tiss basi tumekwisha kama taifa
 
Mzee mwinyi amemtumia mmoja, tena alimrithi kwa Jk wa kwnza, Mkapa alimtumia mmoja, kikwete alimtumia mmoja ktk utawala wake wote, mwenda zake ametumia wawili ktk miaka yake 6, ila bi mkubwa ktk miaka 3 ameshatumia watatu, shida sijui nn ,, Hana imani nao au anaingizwa chaka na teuzi zake??
 
Nyerere miaka 24 walihudumu watano tu but kutoka 2023 hadi 2024 tayari wameshahudumu wanne!!!!
 
Kuna yule mkurugenzi wakati wake tulishuhudia kuuwawa, kutekwa, kupotea, maiti kuokotwa beah na mambo mengine ya hovyo hivi huyu shushu no. Moja aliesomea wapi, lazima itakuwa kokea kas. au russia
 
Je, nchi hii ya Tanzania na Wananchi wake wamenufaika na nini kutoka kwa kila mmoja uliyemtaja kwenye orodha hii??????? Eleza kwa kina manufaa yaliyopatikana kutoka kwao.
 
... wanajua kudondosha vitambulisho vyao Baa kwa Bahati mbaya! ... sorry, kwa Bahati nzuri!
😅
 
Walipoanza kucompromize na ccm nakufuata amri za ccm ndipo waliposhusha hadhi yao

Rushwa imewapofusha wako bize pamoja na maccm wanaplan jinsi ya kuiibia nchi
Kwa 100% wanafanya kazi za ccm badala ya kufanya kazi za Nchi
 
Kuanzia hapo dah!

9. CP Rajabu Diwani: 2019 - 2023

10. Saidi Hussein Massoro: 2023 - 2023

11. Balozi Ali Siwa: 2023 - 2024

12. Suleiman Abubakar Mombo: 2024 - Hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…