Wakurugenzi wote wa halimashauri na majiji waliohujumu uchaguzi wetu 2020 washughurikiwe.

Wakurugenzi wote wa halimashauri na majiji waliohujumu uchaguzi wetu 2020 washughurikiwe.

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Napendekeza sheria ichukuwe mkondo wake na wala asiwepo wa kupona. Kila mmoja wetu anafahamu what happened October 2020 ambapo watumishi Hawa wa umma waliharibu mfumo wa uongozi na misingi ya demokrasia bila uoga wowote. Kwa kuwa makosa waliyotenda ni jinai basi hakuna aliye salama wote washughurikiwe na kama common laws hazitatumika basi natural curse pamoja na Karma zichukue nafasi.
 
Back
Top Bottom