Wakurya na kiswahili

Wakurya na kiswahili

Hii ni ukweli kabsaa ilitokea mtaani kwetu mzee mmoja wa kikurya alikuwa balozi wetu usiku mmoja kulitokea uvamizi wa majambazi. Baada ya harakati asubuhi yake mzee akawa anawasimulia polisi kilichotokea ilikuwa hivi:

" baada ya kuwaona majhambasi nikapiga silimbi ya kwanza ikashaa mate, nikamwagha!! Nikapiga tena silimbi ya pili ikajhaa mate, nikamwagha!! Na ya tathu mura ikajhaa mate, nikamwagha!!"

Kuja kugundua kumbe mzee ana mapengo ndio maana anajaza mate kwenye filimbi na kumwaga.aha aha aha!!
 
Mkurya msibani akitoa nasaha chamani kufirwa no chambo ra kawaida Leo bhoke kafirwa kesho utafirwa wewe yaani kira mutu lazima afirwe
 
Mzee wa Kikurya kwenye msiba; Kufirwa(kufiwa) ni jambo ra kusigitisha sana rakini razima kila mutu afirwe
 
Back
Top Bottom