Wakurya na kiswahili

Mmeamua kufunga mwaka na sisi Wakurya. maneno mengine ni haya
1. hoti badala ya hodi
2. viasi badala ya viazi
3. Karipu badala ya karibu
Ila nimeona wengi mliamua kututania tu, nimecheka sana
4. Pilawa badala ya pilau
5.tibhii bala ya TV
6. Mupira badala ya mpira
7. Tara badala ya taa
Ninacho nifurahisha eti Kenge kwa kikirya inaitwa Emboro
[emoji74] [emoji74] [emoji74]
 
Hibhii hiyo uchi inaghucha haichiii?? Tumengocha mbaka tumechoka mura
 
Jamaa hawa ni noma.. Shamba wanaita Mughundu.
[emoji2] [emoji2]
 
Mleta uzi huu cjui aliwaza nn nmecheka sanaa. Tuletee na makabira mengn mkuu maana nayo n shda
 
Kuna moja juzi aliniambia anauza giriri, mpk nigundue maana ya giriri ilinigarimu mda kidogo. Kumbe anasema anauza grili za madirishaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Nimebhita bhale gorosari kwa mama pili nimegunywa bhia nimerewa sana
 
Turikwenda kumsalimia Chacha muchini.Muke wake ni muswahiri akaturetea chai tukara akatulea wari tukanywa hata hatukusiba.Chacha bhado hachaoa mpaka tumutabhutie bhinti wa bhoti haki ya mama atubhilie ughare tusibe kabhisa
Aise umenichekesha vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…