Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
True haahahahMkurya halisi chai anaita "Chahe"
Uji anaita "Uchi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True haahahahMkurya halisi chai anaita "Chahe"
Uji anaita "Uchi"
4. Pilawa badala ya pilauMmeamua kufunga mwaka na sisi Wakurya. maneno mengine ni haya
1. hoti badala ya hodi
2. viasi badala ya viazi
3. Karipu badala ya karibu
Ila nimeona wengi mliamua kututania tu, nimecheka sana
Hepu nipe "uchi wa motoo"...Mkurya halisi chai anaita "Chahe"
Uji anaita "Uchi"
Mughondo....Jamaa hawa ni noma.. Shamba wanaita Mughundu.
[emoji2] [emoji2]
ha ha haHibhii hiyo uchi inaghucha haichiii?? Tumengocha mbaka tumechoka mura
Mura unareta mambo ya kiswahiliJamaa hawa ni noma.. Shamba wanaita Mughundu.
[emoji2] [emoji2]
HahahaMkuu siyo rakini, ni "arakini".
Aise umenichekesha vibaya sana.Turikwenda kumsalimia Chacha muchini.Muke wake ni muswahiri akaturetea chai tukara akatulea wari tukanywa hata hatukusiba.Chacha bhado hachaoa mpaka tumutabhutie bhinti wa bhoti haki ya mama atubhilie ughare tusibe kabhisa