Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hahahahahahahaha hii iliniacha hooi bin taabani
[TD="width: 100%"]
[/TD]
MKURYA MMOJA ALISIKIKA AKISEMA: AROO! HAYA MAJITU YANASHINDWA KUBIKIRI FIZURI, MAWASO YAO YOTE YAKO KWENYE KURA KIBORO NA UCHI. akiwa na maana ya: ALOO! HAWA WATU WANASHINDWA KUFIKIRI VIZURI, MAWAZO YAO YOTE YAKO KWENYE KULA KIPORO NA UJI.:eyebrows: |
[TD="width: 100%"]