Wakurya shikamooni....!!!

Wakurya shikamooni....!!!

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Wakurya watatu wakiwa kwenye daladala...
Mkurya wa kwanza.. "dereva sukisa mimi hapa..
Mkurya wa pili... "inaonekana una chinda ya maneno dugu"...
Mkurya wa tatu.. Huku akicheka "wewe bana jeka mwenzako nyi wote mna chinda ya kubronounce..!!!
😀😀😀😀
 
Marahaba
 
Natamani sana kujua tabia za mabinti wa kikurya.

Na je kama hajakulia kabisa huko Tarime pia atakuwa mkatili?
 
HAHAHAA NGOJA KUNA JAMAA ANAUZA DUKA JIRANI NI MKURYA NGOJA NIKAMCHEKI
 
Back
Top Bottom