KERO Wakusanya Ushuru Manispaa ya Iringa tunacheleweshewa sana malipo yetu ya mshahara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni kibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nakusanya ushuru, kumekuwa na utaratibu wa kucheleweshewa mshahara wetu ambao kikawaida ilitakiwa tuwe tunalipwa tarehe 01 ya kila mwezi ila tunacheleweshewa sana hadi muda mwingine tunalipwa tarehe 22.

Hali hiyo inaathiri sana familia zetu kwani na sisi tunafamilia zinatutegemea, ujumbe huu umfikie Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa atulipe mapema stahiki zetu.

Wafanyakazi tupo takribani 60, changamoto hiyo imekuwa ikifanyika kila mwezi.
 
Pumbavu, si mjilipe humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…