Hongera sana dogo hahhaa ila najua utakua mdogo
Napenda sana hiyo hapo decor hivi bei zake si huwa juu sana
Na je unaweza ifanya kwenye nyumba yazamani
Inaweza fanyika kwa jengo lolote pia gharama inategemea na aina ya Mawe unayotaka maana yapo yanayo agizwa toka Tanga, Babati na kwinginekoHongera sana dogo hahhaa ila najua utakua mdogo
Napenda sana hiyo hapo decor hivi bei zake si huwa juu sana
Na je unaweza ifanya kwenye nyumba yazamani?