Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani .
Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa.
Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne.
Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant .
Nina Cheti cha form four kizuri tu
Kwanini serikali ?
Lengo ni muunganishe Mzazi wangu katika BIMA maana anasumbuliwa na magonjwa ambayo ni endelevu .
Ila pia hata nikipata katika taasisi binafsi au shirika nitashukuru Sana.🙏🏽
Asanteni.