Wakuu baada ya changamoto sasa nahitaji ajira ya office attendant serikalini .

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani .

Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa.

Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne.

Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant .

Nina Cheti cha form four kizuri tu

Kwanini serikali ?
Lengo ni muunganishe Mzazi wangu katika BIMA maana anasumbuliwa na magonjwa ambayo ni endelevu .


Ila pia hata nikipata katika taasisi binafsi au shirika nitashukuru Sana.🙏🏽

Asanteni.
 
Sababu yako ni ya kijinga eti serikali kwaajili ya bima ya wazazi nani kakwambia bina ni kwa ajilinya wafanyakazi wa serikali??
Halafu inavyosema una cheti ya form 4 kizuri kinasaidia nini huko kwenye office attendant wakati umesema una advance niploma?? Maelezo yako yanatia mashaka
 
Usikate tamaaa, utashinda. Nakuelewa sana ndg yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…