sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,554
- 868
Karibu sana mkuu kila kitu kipo sawa kabisagari imara na ngumu sana hizi
Mkuu niambie bei kuna sugamamy anatafuta gari then nitakupa mrejeshoKaribu sana kupata gari hii kwa gharama nafuu kabisa
Million 18 mkuu karibu sanaMkuu niambie bei kuna sugamamy anatafuta gari then nitakupa mrejesho
Poa ngoja nimwambieMillion 18 mkuu karibu sana
Ok wakuuPiga interior kaka