kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Ukikosa mteja ntafte nikupe akili
Utakuwa umekosea kuandika kaka..Elfu hamsini mkuu
Unguja mkuuGari iko unguja au Pemba??
Nataka nije niione
Iyo ni usafirishaji kutoka unguja mpaka darUtakuwa umekosea kuandika kaka..
Dah....forest au everest? Unajichanganya banaa....[emoji87] [emoji87]Ford forest ni gari ambayo ipo katika hari nzuri na haidaiwi chochote karibu sana pia maelewano yapo
![]()
Karibuni sana wakuu
Nimekosea tu mie binadamu kukosea ni kawaida so si jambo la kushangaza ni Ford Everest.Dah....forest au everest? Unajichanganya banaa....[emoji87] [emoji87]
Dah....hebu cheki bei tena isijekuwa umekosea[emoji87] [emoji13] [emoji13]Nimekosea tu mie binadamu kukosea ni kawaida so si jambo la kushangaza ni Ford Everest.
![]()
Karibu sana mkuu.
Bei NI million 16 na nusuDah....hebu cheki bei tena isijekuwa umekosea[emoji87] [emoji13] [emoji13]