Wakuu gari aina ya ford everest inauzwa kwa bei chee kabisa

We uza tu usawa huuu sio wa kununua gari la namna hiyo
 
Ford Everest ni gari ambayo ni imara sana na zinazodumu kwa mda mrefu pia spears zake zinapatkana kwa urahisi
Karibu upate gari hili kwa gharama nafuu kabisa





Karibu sana na Ahsante sana
 
Wakuu gari tumeishusha bei ni Million 16 na nusu na tutakusafirishia mpaka Dar karibuni sana wakuu

Karibuni sana wakuu.
 
Karibuni sana wakuu gari ipo katika hali nzuri sana na haidaiwi chochote.

Karibuni sana wakuu
 
Pata gari hili kwa bei nafuu kabisa

Kila kitu kipo sawa na tumeshusha bei hadi million 16 na nusu Gari lipo Zanzibar na tutakusafirishia mpaka Dar kwa gharama zetu

Karibuni sana wakuu
Piga 0766-1951 kwa mawasiliano:
Ahsante sana na karibu sana:
 
Wakuu Karibuni sana Gari hii haidaiwi chochote Iko Zanzibar kama upo bara tutakufikishia mpaka Dar






Karibuni sana wakuu
Piga 0766-195115
E-mail:sirajimsilanga55@gmail.com
Karibu sana na Ahsante sana..
 
Ford forest ni gari ambayo ipo katika hari nzuri na haidaiwi chochote karibu sana pia maelewano yapo

Karibuni sana wakuu
Dah....forest au everest? Unajichanganya banaa....[emoji87] [emoji87]
 
Dah....forest au everest? Unajichanganya banaa....[emoji87] [emoji87]
Nimekosea tu mie binadamu kukosea ni kawaida so si jambo la kushangaza ni Ford Everest.

Karibu sana mkuu.
 
Ford Everest haidaiwi chochote Iko Zanzibar kama upo bara tutakusafirishia mpaka Dar

Karibuni sana wakuu.
 
Karibuni sana wakuu

Ahsante sana na karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…