Kwa vile ni Zanzibar na hii gari haidaiwi ushuru watakubadilishia tu kwa gharama nafuuUshuru mpaka reg T unakua sh ngapi?
Kama upo serious unahitaji nipigieMimi nataka gari ya mil 5
Mtumishi unadhani iyo gari ukinunua kwenye yard ni shs ngapi kumbuka pia unatakiwa uilipie kila kitu iyo siyo Noah au IST na hii gari imelipiwa kila kitu afu kumbuka magari ya ford ni imara sana.hahahaaa watu wengine buana milioni kumi na nane ni bei chee?
Mtumishi unadhani iyo gari ukinunua kwenye yard ni shs ngapi kumbuka pia unatakiwa uilipie kila kitu iyo siyo Noah au IST na hii gari imelipiwa kila kitu afu kumbuka magari ya ford ni imara sana.