Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Chukua kwa 13 mkuu hiyo ndiyo bei ya mwisho mkuuChukua 10m
Karibu sana mkuuGari safi sana
Mkuu hii imesajiliwa Zenji sio?Wakuu gari hii bado Iko sokoni
Piga 076619515
Ahsante sana na karibu sana
Ndio mkuu lakini ni usafirishaji tu na kubadili usajili vitu vingine vyote vipo sawaMkuu hii imesajiliwa Zenji sio?
Ambavyo vinaweza kugharimu kama kiasi gani kwa uzoefu wako?Ndio mkuu lakini ni usafirishaji tu na kubadili usajili vitu vingine vyote vipo sawa
Million moja na laki tano mkuuAmbavyo vinaweza kugharimu kama kiasi gani kwa uzoefu wako?
Hii gari ingekuwa Dar ningeinunua wallah... naogopa sana gari kutokea Zenji... utajikuta unadaiwa mikodi mingine balaa...Karibu sana wakuu gari hii bado Iko sokoni karibu sana wakuu
Karibuni sana wakuu