Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Manyanza mbona una mkono soft namna hiyo? Unaweza kweli kushika sururu na nyundo weye???Mbona yana sukari sukari hayo ? Kwa kifupi kama yapo hivyo hayana dili hayo inatakiwa yawe clear kabisa yasiwe na sukari sukari
View attachment 3663710
Yawe clear kama haya ☝
Hiyo ni Ruby bhanaUnafanya mchezo na ruby
Ruby hiyo bhanaSio Ruby hayo ni rodlite
TuongeeYeah ukichimba chini ndio yapo clear, halafu sio kwamba yana thamani sana lakini yakiwa clear unapata hela yakianzia kilo moja . Huwa yanatumika kutengenezea taa za magari, pikipipiki nk ni dili nzuri yanapatikana wapi ?
Ni maabara zozote za madini maana kwetu Huwa tunaenda kupima dhahabu maswala ya ppm je ni kipimo ikohicho ndo hupima madini tofauti tofauti?Kwa kuangalia picha pekee, haya yanafanana sana na corundum yenye rangi nyekundu/pink yaani ruby au pink sapphire rough, hasa hayo mawe matatu ya pink/purple. Jiwe la kijivu-bluu linaweza kuwa mineral nyingine au corundum yenye inclusions.
Lakini siwezi kuthibitisha kuwa ni ruby kwa picha pekee. Rangi na mwonekano unaweza kufanana pia na garnet, spinel au madini mengine.
Ili kuyatambua kwa uhakika, vipimo muhimu ni:
1. Refractive index: corundum ≈ 1.762–1.770
2. Specific gravity: ≈ 3.95–4.10
3. Hardness: Mohs 9
Uchunguzi wa inclusions kwa microscope/gemological loupe
Raman/XRF ikiwa maabara inapatikana.
Ni maabara zozote za madini maana kwetu Huwa tunaenda kupima dhahabu maswala ya ppm je ni kipimo ikohicho ndo hupima madini tofauti tofauti?
Ahsante sana
😃😃😃Ruby hiyo bhana
Nitakupigia ndugu yanguTuongee
Nyinyi wasomi na vihesabu vyenu ndio maana hela inawapita kushotoKwa kuangalia picha pekee, haya yanafanana sana na corundum yenye rangi nyekundu/pink yaani ruby au pink sapphire rough, hasa hayo mawe matatu ya pink/purple. Jiwe la kijivu-bluu linaweza kuwa mineral nyingine au corundum yenye inclusions.
Lakini siwezi kuthibitisha kuwa ni ruby kwa picha pekee. Rangi na mwonekano unaweza kufanana pia na garnet, spinel au madini mengine.
Ili kuyatambua kwa uhakika, vipimo muhimu ni:
1. Refractive index: corundum ≈ 1.762–1.770
2. Specific gravity: ≈ 3.95–4.10
3. Hardness: Mohs 9
Uchunguzi wa inclusions kwa microscope/gemological loupe
Raman/XRF ikiwa maabara inapatikana.
Labda kazi ya kutomasa lakini kazi kazi nakataa mkono hauna hata kijisugu, una ndevu kweli!!??
Roboti linatema vitu aisee.Karibu sana. Si kipimo kilekile. ppm ni kipimo cha concentration yaan parts per million (ppm). Maabara ya dhahabu inaweza kusema, kwa mfano, sampuli ina Au = 3 ppm, ambayo kwa ore ni sawa na takribani 3 g/t.
Kwa hayo mawe kwenye picha yako, kuna mambo mawili tofauti:
1. Ukitaka kujua jiwe lenyewe ni madini/gemstone gani; kama ni ruby (corundum), garnet, spinel n.k. unahitaji gemological/mineral identification. Hapa wanaweza kutumia refractive index, specific gravity, microscope, Raman spectroscopy au XRD kulingana na maabara.
2. Ukitaka kujua lina elements gani na kiasi gani; mfano chromium (Cr), iron (Fe), aluminium (Al), gold (Au) n.k. — hapo ndipo XRF, ICP-OES/ICP-MS, AAS na vipimo vinavyoripoti ppm/% vinaweza kutumika.
Kwa hiyo ukienda kwenye maabara mnayopimia dhahabu, usiwaambie tu nipimie ppm. Waambie;
Nataka mineral/gemstone identification ya mawe haya nijue ni madini gani, na ikiwezekana chemical composition yake.
Kama maabara yao inafanya gold assay pekee (fire assay/AAS), haitoshi kuthibitisha kwamba jiwe ni ruby.
Kwa haya ya picha yako, ningeshauri usiwaache wayasage kwanza. Identification ya gemstone inaweza kufanywa bila kuharibu specimen; yakithibitika kuwa gemstone, kuyasaga kwa assay kunaweza kuharibu thamani yake.
Umechukia alivyomuelewesha bureeee wakati wewe ulitaka hela🤣🤣🤣Roboti linatema vitu aisee.
Bado haliwezi kuchukua nafasi ya Gemmologist mambo aliyosema AI wewe layman huwezi kuelewa tuheshimu taaluma za watu.Umechukia alivyomuelewesha bureeee wakati wewe ulitaka hela🤣🤣🤣
Sasaaa huo udevu ungeukoleza hinna, ungependezajeeeee🤣🏃🏃🏃View attachment 3663870
Usimchezee Shehe we binti uwe na disipilinii 🤣🤣🤣
Wapo busy na masomo ya nje hawataki kuwafundisha watoto madini na wanyama wa Tanzania..Ila kiukweli Tanzania inaulazima kuanzisha somo la madini uko mashuleni.......99.7% ya watanzania hawana uelewa wowote wa madini
Wachaa weee 🤣🤣🤣Sasaaa huo udevu ungeukoleza hinna, ungependezajeeeee🤣🏃🏃🏃
Mimi yangu imegawa mwezi,Wachaa weee 🤣🤣🤣
Nitafanyaje hivyo siku ya birthday yangu next weekend