Wakuu haya Madini Yana thamani yoyote hapa Tz?

Wakuu haya Madini Yana thamani yoyote hapa Tz?

Doooh 😅
Usiniambie na wewe unataka tu-merge hii siku? 😃😃😃
Nitakuwa nimetimiza siku 14,245.
Ni mara ya kwanza kukutana na mtu tumezaliwa tarehe moja, mwezi mmoja, nimekua natafuta sana, daaah! ingekua ni mwanamke ingekua poa sana😁😂
Maa shaallah, chumvi chumvi umekula
 
Ni mara ya kwanza kukutana na mtu tumezaliwa tarehe moja, mwezi mmoja, nimekua natafuta sana, daaah! ingekua ni mwanamke ingekua poa sana😁😂
Maa shaallah, chumvi chumvi umekula
Aisee wewe utakuwa ni mtu wa tatu kukutana naye ambaye tumezaliwa tarehe 16 September wote. Halafu na wao walikuwa ni mabinti wote 😂😂😂

Hahaha eti nimekula chumvi, bado kabisa hapo
 
Nimeyaona sehemu yapo Kwa wingi. Nahitaji mtu aliye serious na uhakika tutete naye.
View attachment 3663676
Ni hayo mekundu hako kengine kana mng'ao sana zaidi ya shaba na ulanga.

Mimi nimebobea kwenye dhahabu na shaba na hata ulanga ila hii sio ulanga Wala shaba.

Nimejaribu ku search mtandaoni nakutana na Red spinels na Ruby sasa Bado sijajua ni uhakika au ?

Soko lipo uhakika pia?

Ahsante sana
Screenshot_20260906-082932.png
 
Back
Top Bottom