Wakuu haya Madini Yana thamani yoyote hapa Tz?

Doooh πŸ˜…
Usiniambie na wewe unataka tu-merge hii siku? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nitakuwa nimetimiza siku 14,245.
Ni mara ya kwanza kukutana na mtu tumezaliwa tarehe moja, mwezi mmoja, nimekua natafuta sana, daaah! ingekua ni mwanamke ingekua poa sanaπŸ˜πŸ˜‚
Maa shaallah, chumvi chumvi umekula
 
Ni mara ya kwanza kukutana na mtu tumezaliwa tarehe moja, mwezi mmoja, nimekua natafuta sana, daaah! ingekua ni mwanamke ingekua poa sanaπŸ˜πŸ˜‚
Maa shaallah, chumvi chumvi umekula
Aisee wewe utakuwa ni mtu wa tatu kukutana naye ambaye tumezaliwa tarehe 16 September wote. Halafu na wao walikuwa ni mabinti wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahaha eti nimekula chumvi, bado kabisa hapo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…