Pattern breaker
Member
- Aug 29, 2021
- 10
- 17
Utaweza kuhimili kunya kila baada ya dk.Hiyo kitu kama hujawahi kuipiga ni bora usiijaribu,ni kali kinoma,
Sijui ni kwanini ilipigwa marufuku.
Elezea kaka ilikuaje😃😃😃Sitaki kuukumbuka asee ilibaki kidogo nijinyee