Wakuu hii elimu tiba mpya ya kupona Kwa kutembea peku inaukweli?

Wakuu hii elimu tiba mpya ya kupona Kwa kutembea peku inaukweli?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Screenshot_20220920-193954.png



Kwa elimu hii kuwa kwenye nyayo Kuna swichi za kutibu kila ugonjwa.

Kuna jamaa alinipa hizi story nikamkatalia. Ila naona kama wanazidi kushamiri kufundisha tiba ya mikono na miguu.

Kuna ukweli wowote katika hili?
 
Ukitembea peku pia unauonjaa uhalisia wako wa,kuwepo duniani

Ova
 
Long time morogoro alikuwepo farther mmja wa kanisa Catholic anaitwa fr wenger(mzungu) alikuwa anatembea
Peku....

Ova
Siyo ndiyo yule alojizolea umaarufu wanamwita mapekupeku nae ni mzungu hukohuko moro maeneo ya mji mwema?
 
Wanasema pia ukitembea peku wadudu toka ardhini wakingia mwilini kwako wanasaidia kutengeneza kinga
Mwilini....

Ova
Mkuu hapa umetisha! Mi nafahamu wale funza ambao wakiingia miguuni wanashambulia vidole na visigino hadi miguu inapinda
 
Inabidi nitenge eneo lenye kokoto niwe napasha mchakamchaka kila asubuhi.

Uhenga auhepukiki wakuu
 
Ni kweli kabisa na hii elimu ilitafitiwa na Wachina wa kale (Ancient China)

Na hao wachina ndio wanaosambaza elimu hii mpaka huku kwetu

Ila unapaswa utembee kwny ardhi yenye texture kama vikokoto au vijiwejiwe hasa mchana wakati adhi ina joto la jua.

Sio kwenye Sakafu au Tiles.
 
Back
Top Bottom