Wakuu hii gari inatoboa au editing za vijana

Hi kampuni ya kisumapai imechoka sana haian uwezo wa kufanya safari
Kama hiyo😁


picha linaanza jamaa ananunua gari used kutoka kwa selous(superfeo) then anaziboresha unafikiri kutakua na mali kweli hapo??😁

Mwaka 2020-2022 nilikua Naishi Songea

Nilifanikiwa kukutana na baadhi ya hizi Gari

Njombe to songea

Songea to masasi

Zilikua zimechoka mnoo kama daladala za mbagara to Goms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…