Wakuu, hii ilikuwa mechi gani? Na Kipa alificha nini golini?

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Salaam wakuu,

Mimi sikujua hii mechi ni ya bongo hadi nilipoona bango la Azam.

Je, ni Mechi gani? Goli kipa alificha nini golini?

Huyo anayekimbizwa ni nani? Kwanini anakimbia?

Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo ni ligi ya Rwanda kuna kipindi(kama sijakosea ni msimu wa 2018/2019) Azam walikuwa wanarusha live kama mdhamini(haki za matangazo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…