Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Zama zimebadilikaMiaka miatano umamuandikisha mwanao darasa la kwanza ili iweje? Mtoto afikishe miaka saba ndipo umwandikishe darasa la kwanza. Chini ya hapo awe anaenda darasa la awali
Brother amini nakwambia kumuanzisha mwanao darasa la kwanza akiwa na miaka mitano humtendei haki na humjengi katika muktadha wa yeye kuja kumudu kuyakabili maisha ipasavyo.Zama zimebadilika