King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Ungebeba Shangazi Kaja moja ukatoboa kimaisha wewe acha UJINGA.Nafanya kazi na wachina
Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina.
Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full
Likoje, au ndo Yale ya masafletiBegi ukelewe
Bahati haiji mara mbili mkuu chomoka na fuko Moja Hilo chapuNafanya kazi na wachina
Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina.
Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full