Huu sio ukristo wa kwenye biblia,ni ukristo wa jamii ya kina mwamposa tu.Vinginevyo utoe andiko kuthibitisha madai yakoKtk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.
Yesu alitemea mate udongo na kutengeneza tope na kumpaka kipofu na akapona
Je huo pia ni ushirikina?
Haya ni mambo ya kiroho , ukiyachambua physical hauto ambulia kitu
Kabla sijakujibu,Haihusiani.Alipombariki Petro kuvua samaki kwa nini alienda wanakovua samaki kabisa?Si angeagiza aletewe maji ayaombee kisha ayarudishe yalikotolewa?
Mkuu sasa huo ni uongo, Nani aliwahi kugeuza maji kuwa damu ya Yesu??. Khaaa!!!Ktk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.
Sasa kwanini akaumwage usiku?hapo kwenye eneo lake la biasharaKtk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.
CHANZO CHA YOTE HAYO NI HIKI [emoji116]Mambo yote ya Mungu ukiyatafuri kwa upande wa kishetani yanaendenda na ushirikina,shetani hakuumba kitu chochote isipokuwa anatumia vitu vilevile vilivyoumbwa na Mungu kwa kuvibadilisha.
Kipindi cha Musa, Musa alibadilisha fimbo kuwa nyoka, wachawi nao wakatengeneza nyoka, Mungu anasema usizini,shetani anasema zini.
Naona umeamua kufukua makaburi.
hatari Sana mkuuHuu sio ukristo,ni mteja wa kina mwamposa huyu
kwa hakika siku za mwisho zimewadiaMaandiko yako wazi kabisa kuhusu kuibuka kwa manabii wa uongo siku za mwisho, lakini watu bado wamekomaa kuwafuata kama nyumbu....
Manabii wa uongo wameshika akili zaoHuu sio ukristo wa kwenye biblia,ni ukristo wa jamii ya kina mwamposa tu.Vinginevyo utoe andiko kuthibitisha madai yako
Mkuu usiombe kuchapika na maisha utaamini kila unaloambiwa....husikii sikuhizi vijana wako tayari kuwa wake za watu mradi tu wawe na maisha mazuri.....hakuna wakati tunahitaji ulinzi wa Mungu kama nyakati hiziManabii wa uongo wameshika akili zao
umeongea point mkuu!Mkuu usiombe kuchapika na maisha utaamini kila unaloambiwa....husikii sikuhizi vijana wako tayari kuwa wake za watu mradi tu wawe na maisha mazuri.....hakuna wakati tunahitaji ulinzi wa Mungu kama nyakati hizi